Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hivi kwanini uume unaitwa jogoo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kwanini uume unaitwa jogoo....
asante kwa ufafanuziKila ifikapo alfajiri husimama hasa kipindi ambacho jogoo huwika ndo maana huitwa jogoo.
Wewe huna tatizo, nina hakika una stress tu. Fanya yako, jipe mda akili ikikaa sawa utarudi mzigoni kama kawa. Usichanganye mambo kwa wakati mmoja.yawezekana mkuu?
asanteUzeee af acha kuangalia porno kijana zina madhara
Usimdikirie kwann hasimami kwani ukifanya hvyo ndo kama unaaminisha akili yako ili asisimame kabisa
ni kweli nna kamsongo kamawazo , japo siwez kuelezeaPole sana mleta mada kwa hili tatizo la "system failure". Ninavyofahamu mimi ni kuwa sexual arousal/erection ni tokeo la msukumo wa mawazo. Hivyo kama ubongo wako umezongwa na jambo zito sexual arousal inapotea. Swali la kujiuliza je mleta mada ana msongo gani wa mawazo? Anafuatiliwa na Takukuru mambo ya ufisadi? TRA wanamunyemelea kukomboa fedha zetu? Ndalichako kamshupalia kufuatilia vyeti fake alivyopata wakati wa enzi za bwelele?!!!
Dots zinaconnect kuwa tatizo ni zaidi ya wiki. Atafute suluhisho la kitaaluma zaidi. Kwa hapa jf atapata dhihaka tu.Hii uli-post August 20, 2015
Uume unauma baada ya kusimama
Halafu majuzi Jumatatu ukaja na hii
Je Umewahi kusumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ukapona? Njoo tuambie hapa
Kuna tatizo...niki-connect dots
Ni kweli...Jamaa anaonekana tatizo lake lilianza siku nyingi...Dots zinaconnect kuwa tatizo ni zaidi ya wiki. Atafute suluhisho la kitaaluma zaidi. Kwa hapa jf atapata dhihaka tu.