Msaada, Wiki moja Sasa Jogoo Wangu hasimami

Pole sana mleta mada kwa hili tatizo la "system failure". Ninavyofahamu mimi ni kuwa sexual arousal/erection ni tokeo la msukumo wa mawazo. Hivyo kama ubongo wako umezongwa na jambo zito sexual arousal inapotea. Swali la kujiuliza je mleta mada ana msongo gani wa mawazo? Anafuatiliwa na Takukuru mambo ya ufisadi? TRA wanamunyemelea kukomboa fedha zetu? Ndalichako kamshupalia kufuatilia vyeti fake alivyopata wakati wa enzi za bwelele?!!!
 
TCRA walishasema zoezi la kuzima simu ni endelevu,watafute kwa usaidizi zaidi
 
Ickutishe huwa inatokea period!
Wala ucjisumbue kujiboost hali yake itarudia km awali
 
Pole sana mleta mada kwa hili tatizo la "system failure". Ninavyofahamu mimi ni kuwa sexual arousal/erection ni tokeo la msukumo wa mawazo. Hivyo kama ubongo wako umezongwa na jambo zito sexual arousal inapotea. Swali la kujiuliza je mleta mada ana msongo gani wa mawazo? Anafuatiliwa na Takukuru mambo ya ufisadi? TRA wanamunyemelea kukomboa fedha zetu? Ndalichako kamshupalia kufuatilia vyeti fake alivyopata wakati wa enzi za bwelele?!!!
ni kweli nna kamsongo kamawazo , japo siwez kuelezea
 
Tatizo lako linasababishwa na stress/msongo wa mawazo yaliyojaaa kichwani
 
Usipopata ufumbuzi niPM nitakupa dawa kisha utanilipa baada ya kupona.

UAMINIFU TAFADHARI
 
Back
Top Bottom