Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa online sijui..Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
Ufafanuzi anuani na maelekezo mengine ya kuandika baruaKwa online sijui..
Lakini mimi nilizidishiwa makato HESLB nikaandika barua ikieleza deni na nilichokatwa. Barua iliataja kozi, mwaka wa kuanza na kumaliza, chuo na faculty (kw wakati huo) Nikaweka akaunti namba yangu ya benki, then nikarudishiwa kiasi kilichozidi.
Sasa kama kuna tofauto na online sijui