Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo

Hii Hali kesho naondoka mwenye uhitaji na room ipo sabasaba Brock J Kodi ishalipwa miezi miwili anaweza kunipa nusu hasara 20000 room Iko vizuri umeme na maji ndani marumaruView attachment 2279345
Kama unapumua fresh sio tatizo mkuu niliwahi kupanda mlima kilimanjaro oxygen ilikua negative 6 baridi ya pale ni kama mtu anakukata na kisu
 
Hapo mbona 'Unaambiwa' ukifika kuna mablanketi chapa 'mtu'...Yanakukaribisha kwa Ukarimu , We hukuyaona Hayo 'MABLANKETI'...? ila chukua tahadhari maana KI takwimu Iringa inaongoza kwa 'KIMWI'.
 
Sogea hapo njombe ukapate Baridi ya maana ili uikumbuke hiyo sehemu uliyopo sasa!
 
[emoji15][emoji1] BabaMorgan lile la chapa ntu!?
 
... kadiri muda unavyoenda mwili utaji-adjust na kuzoea hali ya hewa.
Ile baridi haozoeleki na unaweza kufa
Kama unapumua fresh sio tatizo mkuu niliwahi kupanda mlima kilimanjaro oxygen ilikua negative 6 baridi ya pale ni kama mtu anakukata na kisu
Baridi ikiwa kali inaua ndugu yangu, kuna kitu kinachoitwa Hypothermia ambapo mwili unapoteza joto jingi kuliko unavyoweza kuzalisha na hivyo kushindwa ku maintain body temperature ya 37C, yaani mwili unaanza kupoa kama maiti inavyopoa na unakufa
 
Baridi linakumaliza naona huruma Kwa homeless wanaoishi mikoa ya baridi aisee mungu awasaidie aisee niliwahi kujiona bingwa wa kulala nje ila Kuna mikoa ni balaa Moja na nusu.
 
Makambako unafanya nini? Au ndiyo ule mkasa wako unaendelea?

Mara umejikuta uko kwenye gari unaelekea Tunduru! Ukifika tu Tunduru, akili inakuambia haraka sana ondoka nenda Makambako! Unafika Makambako, akili hiyo hiyo inakutaka kwenda Mafinga! Huku hela inazidi tu kupukutika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…