ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Swali la msingi kabisa.Kwa hiyo uko makambako au mafinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la msingi kabisa.Kwa hiyo uko makambako au mafinga?
Ile baridi haizoeleki na inaweza hata kukuua,, baridi inafika hadi nyuzi 3 C... kadiri muda unavyoenda mwili utaji-adjust na kuzoea hali ya hewa.
I[emoji23][emoji23]Kwa hiyo uko makambako au mafinga?
Kama unapumua fresh sio tatizo mkuu niliwahi kupanda mlima kilimanjaro oxygen ilikua negative 6 baridi ya pale ni kama mtu anakukata na kisuHii Hali kesho naondoka mwenye uhitaji na room ipo sabasaba Brock J Kodi ishalipwa miezi miwili anaweza kunipa nusu hasara 20000 room Iko vizuri umeme na maji ndani marumaruView attachment 2279345
Home huko, inapuliza hatareeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu mnaogopa baridiView attachment 2280171
Nishatoka ukanda huo.Sogea hapo njombe ukapate Baridi ya maana ili uikumbuke hiyo sehemu uliyopo sasa!
Nilikuwa Mafinga.Kwa hiyo uko makambako au mafinga?
[emoji15][emoji1] BabaMorgan lile la chapa ntu!?Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.
Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
Ile baridi haozoeleki na unaweza kufa... kadiri muda unavyoenda mwili utaji-adjust na kuzoea hali ya hewa.
Baridi ikiwa kali inaua ndugu yangu, kuna kitu kinachoitwa Hypothermia ambapo mwili unapoteza joto jingi kuliko unavyoweza kuzalisha na hivyo kushindwa ku maintain body temperature ya 37C, yaani mwili unaanza kupoa kama maiti inavyopoa na unakufaKama unapumua fresh sio tatizo mkuu niliwahi kupanda mlima kilimanjaro oxygen ilikua negative 6 baridi ya pale ni kama mtu anakukata na kisu
Baridi linakumaliza naona huruma Kwa homeless wanaoishi mikoa ya baridi aisee mungu awasaidie aisee niliwahi kujiona bingwa wa kulala nje ila Kuna mikoa ni balaa Moja na nusu.Ile baridi haozoeleki na unaweza kufa
Baridi ikiwa kali inaua ndugu yangu, kuna kitu kinachoitwa Hypothermia ambapo mwili unapoteza joto jingi kuliko unavyoweza kuzalisha na hivyo kushindwa ku maintain body temperature ya 37C, yaani mwili unaanza kupoa kama maiti inavyopoa na unakufa
Tembea uone, arusha hata top 10 mnaweza msiwepoKuna haka kabaridi ka Arusha msikasahau Sana aseee
Makambako unafanya nini? Au ndiyo ule mkasa wako unaendelea?Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.
Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
Dada nakuomba PM chapPole pale panapuliza baridi mno.
Hapo hata ukiopoa unaweza ukaonekana mgonjwa kumbe baridi
Niko mbali, blanket ningekupa, sorry.
Vp suala lako la dini kwenye sensa limepita??Ile baridi haizoeleki na inaweza hata kukuua,, baridi inafika hadi nyuzi 3 C