Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Sorry naweka mkuuYan hata kuweka picha ya hyo nokia umeshindwa halafu unataka msaada...pathetic
Kwa hiyo unanishaurije mkuu niitupeTeknolojia inakwenda mbele, wewe unaamua kurudi nyuma.
Tatizo nini au unahitaji usaidiwe kipi hapoSorry naweka mkuu
Achana nayo, katafute hata Samsung A series. Labda kama unamapenzi ya dhati na hiyo simu uifanye kama kitochi.Kwa hiyo unanishaurije mkuu niitupe
Dunia inaenda mbele wewe unarudi nyuma. Hiyo simu nadhani niliitumia 2008 before the coming of android technologies.Habari za muda huu wana JF,
Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama...
Ilikuwa inatoka Finland 🇫🇮Duh hiyo simu sijui nilitumia enzi za ujima huko hata ilipokwenda sikumbuki.
Ni kwamba ni ya kutupa tu maana hana fundi simu wala vifaa vitapatikana kutengeneza hiyo cm...
Ni sawa na kiwa na kitochi.Habari za muda huu wana JF,
Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama...
Owkay sikumbuki hata ilitoka wapi,ila major problem nakumbuka ilikua ni kukatika mkanda then basi.Ilikuwa inatoka Finland 🇫🇮
Most of time Nokia zote zina Signal reception nzuri, na battery ni hizo hizo zinatumika hadi leo kwenye michina.Habari za muda huu wana JF,
Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb anipe maelekezo kdg kuhusu hizi simu upande wa mtandao na pia nawezaje kupata battery lake iwe Dar es salaam au mkoa mwngne.
Ahsanteni.
Symbian ni Smartphone ina Apps zaidi ya lakiNi sawa na kiwa na kitochi.
App 0
Mtandao 3g
Niuzie N96 mkuu
Apps pendwa mkuu kama WhatsApp, Instagram, na app nyingine maarufu ndizo nazngumzia. Maana unaweza kujikuta umestuck kwenye kisiwa cha peke yako.Symbian ni Smartphone ina Apps zaidi ya laki
Insta na whatsapp hamna ila FB bado ipo, na kuna Games za kutosha nyengine hadi online. Youtube, Music players, bila kusahau zinarecord simuApps pendwa mkuu kama WhatsApp, Instagram, na app nyingine maarufu ndizo nazngumzia. Maana unaweza kujikuta umestuck kwenye kisiwa cha peke yako.
Ila hizo simu were among my favorite smartphones. Symbian na Blackberry nilizienjoy sana enzi hizo.
Hahahaa nakumbuka nilikuwa na nokia N73 aisee nilienjoy sana ile simu ilikiwa na apps za kutosha nakumbuka ilipo kuja wtsp nikawa natumia wtsp webInsta na whatsapp hamna ila FB bado ipo, na kuna Games za kutosha nyengine hadi online. Youtube, Music players, bila kusahau zinarecord simu
Software za simu za Button zime downgrade sana, Kai os hivi za kwenye smart vitochi app zake unahesabu na vidole halafu hazina maana yoyote. Mara mia utumie hizi za zamani.Hahahaa nakumbuka nilikuwa na nokia N73 aisee nilienjoy sana ile simu ilikiwa na apps za kutosha nakumbuka ilipo kuja wtsp nikawa natumia wtsp web