MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

Duh hiyo simu sijui nilitumia enzi za ujima huko hata ilipokwenda sikumbuki.

Ni kwamba ni ya kutupa tu maana hana fundi simu wala vifaa vitapatikana kutengeneza hiyo cm.

Ichongee boksi peleka pale makumbusho ya taifa ikae kwenye kumbukumbu.

Usisahau kuweka jina na no yacm labda wajapan watakutafuta siku.
sawa mkuu nashukur kw ushauri wako
 
Nenda kariakoo battery unapata, ila itumie tu kama fashion usitegemee kupata app za maana tena katika hiyo simu.
 
Most of time Nokia zote zina Signal reception nzuri, na battery ni hizo hizo zinatumika hadi leo kwenye michina.

Battery lake linaitwa BL 5F, nenda maduka ya battery watajie watakupa.
Sawa chief ntafanya mchakato
 
Uchukue A series wakati kuna mawe ya Sony kama XZ3 unaweza ukaipata kwa bei hio.
Kati ya sony XZ3 na samsung A series ipi ina kaa na chaji sanaa na pia upande wa mtandao vp na pia suala spare zake je?ipi naweza pata kwa urahisi?
 
Ahsante mkuu ...kwa maana hy kwa hii bajeti yangu napata yenye 64GB?
Yeah unapata mkuu, cheki kama hio hapo ndio natumia mimi sahizi. Camera yake bomba kishenzi
Screenshot_20230104-071918.png
 
Back
Top Bottom