MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

pamja kiongozi
Utachagua sasa ukanunue infinix ya laki 2 ya 2GB Ram na storage 32GB camera mbovu au ununue jiwe la kijapani lenye 4GB Ram na 64GB
Screenshot_20230104-072459.png
 
Insta na whatsapp hamna ila FB bado ipo, na kuna Games za kutosha nyengine hadi online. Youtube, Music players, bila kusahau zinarecord simu
Kuna gem langu ka gameloft la mission nishalitafutaa Android silipatii kabisaaa
 
Back
Top Bottom