MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

sawa mkuu nashukur kw ushauri wako
 
Kwa matumizi ya kawaida ya simu, ni simu poa bado...
 
Nenda kariakoo battery unapata, ila itumie tu kama fashion usitegemee kupata app za maana tena katika hiyo simu.
 
Most of time Nokia zote zina Signal reception nzuri, na battery ni hizo hizo zinatumika hadi leo kwenye michina.

Battery lake linaitwa BL 5F, nenda maduka ya battery watajie watakupa.
Sawa chief ntafanya mchakato
 
Uchukue A series wakati kuna mawe ya Sony kama XZ3 unaweza ukaipata kwa bei hio.
Kati ya sony XZ3 na samsung A series ipi ina kaa na chaji sanaa na pia upande wa mtandao vp na pia suala spare zake je?ipi naweza pata kwa urahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…