Am focused
Member
- Jun 13, 2021
- 41
- 173
Salamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na wakafanikiwa kumrejesha mpendwa wao.
Tafadhali naomba usikejeli kwa maana hayajakutokea na kumbuka hujafa hujaumbika, ni bora ukae kimya kuliko kutukana au kukejeli.
Naomba niwakaribishe PM au kwenye comments🙏🏾