Am focused
Member
- Jun 13, 2021
- 41
- 173
Ndiyo tumemzika mkuuMmemzika?
Poleni kwa msiba.Salamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na wakafanikiwa kumrejesha mpendwa wao.
Tafadhali naomba usikejeli kwa maana hayajakutokea na kumbuka hujafa hujaumbika, ni bora ukae kimya kuliko kutukana au kukejeli.
Naomba niwakaribishe PM au kwenye comments🙏🏾
Pole na msiba ila mtu akishakufa amekufa . Utatapeliwa bure hela yako hakuna wa kumfufua mtuSalamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na wakafanikiwa kumrejesha mpendwa wao.
Tafadhali naomba usikejeli kwa maana hayajakutokea na kumbuka hujafa hujaumbika, ni bora ukae kimya kuliko kutukana au kukejeli.
Naomba niwakaribishe PM au kwenye comments🙏🏾
Zimepita siku 7?Ndiyo tumemzika mkuu
Hapo umewaita wazee wa fursa kuwa makini utapigwa kibundaSalamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na wakafanikiwa kumrejesha mpendwa wao.
Tafadhali naomba usikejeli kwa maana hayajakutokea na kumbuka hujafa hujaumbika, ni bora ukae kimya kuliko kutukana au kukejeli.
Naomba niwakaribishe PM au kwenye comments🙏🏾
nenda Tanga kwamsisi. Mtafute gstar akupe msaada zaidiSalamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na wakafanikiwa kumrejesha mpendwa wao.
Tafadhali naomba usikejeli kwa maana hayajakutokea na kumbuka hujafa hujaumbika, ni bora ukae kimya kuliko kutukana au kukejeli.
Naomba niwakaribishe PM au kwenye comments🙏🏾
Anakujaje na kikosi wakati kaitwa pekeyake?Zimepita siku 7?
Kuna mwamba namjua, tatizo ni kwamba hii issue umeamua mwenyewe au mmekubaliana ndugu?
Una hakika akija mtu ambae mlimzika mtaweza kuishi nae?
Kuna possibility akija haji peke yake maana mnakua mmefungua mlango wa kuzimu anaweza kuja na kikosi.
Naomba jifikirie kwanza.
Acha Imani potovu,hakuna kitu kama hicho,hata mzee wa Shakahola hawezi kufanya hivyo,aliweza tu kuwaua waumini kwa kuwanyima chakula,ila kamwe hata weza na hawezi kuwafufua🤔Salamu kwenu jukwaa!