Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
282
Reaction score
561
Pamoja na kwamba Picha za CCTV hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi

Nono itatolewa asanteni

Screenshot_20220112-131132_Video Player.jpg
 
Attachments

  • VID-20220105-WA0007.mp4
    7 MB
Pamoja na kwamba Picha za cctv hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi nono itatolewa asanteniView attachment 2078242

Screenshot_20220112-131132_Video Player.jpg
 
Attachments

  • VID-20220105-WA0007.mp4
    7 MB
Ushahidi wa kutumia CCTV hata kule mahakamani kwenye kesi ya Sabaya unasumbua watu.

Hapo kama mtu anamfahamu huyo muhalifu atamtambua licha ya hiyo kofia aliyovaa, na sura yake kwa mbali inaonekana, tatizo ni pale utakapotakiwa kuthibitisha bila kuacha shaka, ndio kazi itapoanzia.
 
Pole sana mkuu, mi parasite km hii unagonga risasi tu likafie mbere.

Alafu ukilipata live unalitorture mdogo mdogo mpk linakufa.

Yanakera sana haya
 
Dah!! Yaani mijitu mingine jamani [emoji30] ukikamata hayo nikupiga kipigo Cha mbwa koko pumbavu kabisa mxieww... Mungu akusaidie wajulikane
 
Pamoja na kwamba Picha za cctv hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi nono itatolewa asanteniView attachment 2078242
Pole kwani naamini itakuwa issue ya shari. Sijui kama yako inafanya hivyo, ila ukiamua kuweka camera surveillance system, angalau weka ile yenye motion detection alert ambayo itatoa alert kwenye simu yako ikiona movements.
 
Back
Top Bottom