Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

Dah!! Yaani mijitu mingine jamani [emoji30] ukikamata hayo nikupiga kipigo Cha mbwa koko pumbavu kabisa mxieww... Mungu akusaidie wajulikane
Mungu hawezi kumsaidia hapa mkuu,
Wa kumsaidia ni mwanadamu.
Kama anabisha ampelekee mungu hizi picha aone kama atasaidiwa.
 
Mzee inakuaje wewe ni mtu wa kuibiwa ibiwa sana?

Kama nakumbuka wewe ushawahi weka kipicha fulani cha Pajero nyeupe iliyoibwa...leo tena uzi mwingine wa kupigwa tukio...

Kuna shida mahali...
 
Taarifa iko nusu nusu
1. Watu wa huku naliendele ama namtumbo ama gonja etc twawezaje jua eneo picha ilikochukuliwa (fafanua ni maeneo gani picha imechukuliwa)
2. Nini haswa kilichojiri, huenda ka wizi tushauziwa vitu vilivyoibwa (fafanua)
3. Umeshirikisha polisi (hata pamoja na kwamba saa ingine tunadharau PGO zao ila fanya ivoo )
 
* Jama mwenyewe ni black, na hapa alikuja mchana (10:10:30) na kamera ikanakili picha ivoo, nawaza angekuja usiku angeonekanaje kwa picha?

waza kuongeza uwezo wa kamera zako, pia uwe na kamera kificho zinazoweza kuchukua dimension ingine ya mtu
 
Ila binadamu tumekua wanyama... Nina imani vyombo vya usalama vishamtia nguvuni mhusika..
 
Mzee inakuaje wewe ni mtu wa kuibiwa ibiwa sana?

Kama nakumbuka wewe ushawahi weka kipicha fulani cha Pajero nyeupe iliyoibwa...leo tena uzi mwingine wa kupigwa tukio...

Kuna shida mahali...
Nimebajatika kupata picha za tukio asante kwa kukumbuka
 
Nimebajatika kupata picha za tukio asante kwa kukumbuka

Hujajibu swali mkuu...inakuaje unaibiwa mara kwa mara?

Jichunguze isijekuwa una watu wa karibu yako wasio sahihi? Au unaexpose sana maisha yako n.k
 
Hujajibu swali mkuu...inakuaje unaibiwa mara kwa mara?

Jichunguze isijekuwa una watu wa karibu yako wasio sahihi? Au unaexpose sana maisha yako n.k
Hii picha ni ya tukio la pajero mkuu ...ndiyo nimebahatika kuipata kwa camera ya jirani
 
Ushahidi wa kutumia CCTV hata kule mahakamani kwenye kesi ya Sabaya unasumbua watu.

Hapo kama mtu anamfahamu huyo muhalifu atamtambua licha ya hiyo kofia aliyovaa, na sura yake kwa mbali inaonekana, tatizo ni pale utakapotakiwa kuthibitisha bila kuacha shaka, ndio kazi itapoanzia.
Kweli boss ila huyu tutampeleka mahakama salama.
 
Angalia vizuri ni silaha ndogo imefungwa na kitu cheupe
 
Tukio limetokea maeneo gani hapa nchini???
Bahari beach kuna uzi mwingine nimeweka video labda mods watanisaidia kuunganisha...ni kundi la vijana takriban nane wana silaha za jadi pia za moto wanavamia nyumba asubuhi na mchana
 
Swali langu ni kwamba

1.Ndani ya hiyo nyumba hakukuwa na kamera nyingine iliyowanasa vizuri?,maana naona ni kamera ya nje tu.

2.Jaribu kueleza ni nini kimetokea,unaposema arm robbery pasipo kueleza kiundani unatuacha na maswali!.

3.Nadhani kuleta huu uzi hapa ni kuhitaji msaada,sasa wewe unafichaficha habari unataka msaada upi?


Kwa kifupi ni kwamba hao watu mnafahamiana nao na ndiyo maana hutaki kueleza ukweli unaficha ficha,hiyo kamera inaonyesha kabisa wanakufahamu na hapo kama ni kwako wamekuja wakiwa na ramani kamili.
 
mrangi Njoo tusaidiane huku najua wewe uko mjini siku nyingi na watukutu wote wa mjini unawafahamu
 
Back
Top Bottom