pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Ulidhani wana mapembe? wezi ndio hawa majirani zetu, rafiki zetu, na wengine ndugu zetu.Dah! Kumbe wezi ni watu wa kawaida kabisa.
Armed robberyhusemi ni maeneo gani? wamefanya tukio gani?
Wamemfanya nini!!?Dah!! Yaani mijitu mingine jamani [emoji30] ukikamata hayo nikupiga kipigo Cha mbwa koko pumbavu kabisa mxieww... Mungu akusaidie wajulikane
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kutoa maelekezo vizuri Sisi wasomaji armed robbery Dar es salaam
Pole kwani naamini itakuwa issue ya shari. Sijui kama yako inafanya hivyo, ila ukiamua kuweka camera surveillance system, angalau weka ile yenye motion detection alert ambayo itatoa alert kwenye simu yako ikiona movements.Pamoja na kwamba Picha za cctv hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi nono itatolewa asanteniView attachment 2078242