Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
π€π€π€...Bahari beach kuna uzi mwingine nimeweka video labda mods watanisaidia kuunganisha...ni kundi la vijana takriban nane wana silaha za jadi pia za moto wanavamia nyumba asubuhi na mchana
Pengine shida budget.Ungeweka na hiyo video pia.
Ila CCTV imefeli hapo kwenye kufunika sura za waalifu. Yaani kofia inapunguza uwezo wa CCTV kwa kiasi kikubwa kumpata mwizi kwa haraka.
Dah! Kumbe wezi ni watu wa kawaida kabisa.
Pamoja na kwamba Picha za cctv hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi nono itatolewa asanteniView attachment 2078242
Na Wachawi pia..πDah! Kumbe wezi ni watu wa kawaida kabisa.
Amefanana sana na yule polisi anaitwa Jumanne...Pamoja na kwamba Picha za cctv hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi nono itatolewa asanteniView attachment 2078242
KhaaaaHuyu Ni Kaka mmoja hivi muhaya..
Thibitisha bila kuacha shaka tafadhaliHuyu Ni Kaka mmoja hivi muhaya..
Nitamthibitisha mahakamaniThibitisha bila kuacha shaka tafadhali
Electronic evidence actUshahidi wa kutumia CCTV hata kule mahakamani kwenye kesi ya Sabaya unasumbua watu.
Hapo kama mtu anamfahamu huyo muhalifu atamtambua licha ya hiyo kofia aliyovaa, na sura yake kwa mbali inaonekana, tatizo ni pale utakapotakiwa kuthibitisha bila kuacha shaka, ndio kazi itapoanzia.
Wana Silaha za moto na za jadi ni kundi la takriban watu nane wamechukua gari ikiangalia post yangu ya nyuma utaona maelezo mengi yataharibu kama ykiwafahamu msaada wako utatoshaSwali langu ni kwamba
1.Ndani ya hiyo nyumba hakukuwa na kamera nyingine iliyowanasa vizuri?,maana naona ni kamera ya nje tu.
2.Jaribu kueleza ni nini kimetokea,unaposema arm robbery pasipo kueleza kiundani unatuacha na maswali!.
3.Nadhani kuleta huu uzi hapa ni kuhitaji msaada,sasa wewe unafichaficha habari unataka msaada upi?
Kwa kifupi ni kwamba hao watu mnafahamiana nao na ndiyo maana hutaki kueleza ukweli unaficha ficha,hiyo kamera inaonyesha kabisa wanakufahamu na hapo kama ni kwako wamekuja wakiwa na ramani kamili.
Wa kituo gani tafadhaliAmefanana sana na yule polisi anaitwa Jumanne...