Msaada!

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
 
Mie naona kama si sawa kabisa mmmhh naona kama mmmhhh hapana aisee
 
Kwahiyo jamaa wanajuana wote wakiwa kweupe na wakati wa giza...what a strange life, lol! i would prefer to stay away...but what if the union is agreed by the concerned parties??
 
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
kama hapo red hapana udanganyifu, mimi nasema ni sawa na ni vyema kabisa.
 
ni sawa kwa logic ya kawaida......ila kwa kimaadili kama walivyosema inaonekana si sawa......inategemea waliachana kwa nini na level ya uhusiano wa kaka na dada mtu.......:washing:

dearest kuna kitu huniambii????
 
Mmmmh yani ananiacha mimi anamuoa mdogo wangu, hapana haileti afya hata kidogo.
 
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
Nionavo siyo heshima hata kiduchu, na kinyume chake ni ubatili m2pu
 
Mmmmh yani ananiacha mimi anamuoa mdogo wangu, hapana haileti afya hata kidogo.
tatizo hii kesi mnaichukulia kiwivu wakati mleta mada kasema kuna mariziano. pengine dada kaona mkaka ana mapenzi lakini msumari ni mrefu akaamua kumpasia dadake kwavile dada ni mtundu zaidi? hamuoni kuna hekima imejificha? hapa greti thinka nimethink beyond great thinking capacity.
 
ni sawa kwa logic ya kawaida......ila kwa kimaadili kama walivyosema inaonekana si sawa......inategemea waliachana kwa nini na level ya uhusiano wa kaka na dada mtu.......:washing:

dearest kuna kitu huniambii????

umeimprove kweli sku hizi. nimekulike hapo juu
 
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!

Kama wote wahusika wameridhia, tena kwa dhati kabisa sioni kwa nini isiwe sawa! Natumaini ya kabla ya kufikia maridhio walijadili kila kitu kwa uwazi na ukweli na hatimaye kufikia hilo hitimisho la kuridhia.

So why would anyone have beef?
 
ni sawa kwa logic ya kawaida......ila kwa kimaadili kama walivyosema inaonekana si sawa......inategemea waliachana kwa nini na level ya uhusiano wa kaka na dada mtu.......:washing:

dearest kuna kitu huniambii????
Dearest yani we acha tu!Kwanza nijuze uzima wako kabla sijakupa presha!
 
Kimadili si sawa hata kama wameridhia hao wahusika sio tamaduni yetu wa tz kwani tumekuwa waarabu sie.
 
Kloro kwahiyo we unaona poa kabisa?
 
Duuh sitakuwa ka mbuzi sasa, tena heri ya mbuzi coz anasilka na ajitambui.kama wakiarab ni sawa coz naona atamtani kwetu inahapen.
 
Kama wote wahusika wameridhia, tena kwa dhati kabisa sioni kwa nini isiwe sawa! Natumaini ya kabla ya kufikia maridhio walijadili kila kitu kwa uwazi na ukweli na hatimaye kufikia hilo hitimisho la kuridhia.

So why would anyone have beef?

Yani mshkaji kamwambia mdogo mi nampenda dada yako na akikubali ntamuoa.Mdogo mtu hana tatizo ila anashangaa kama hawataonekana wa ajabu!
 
Kimadili si sawa hata kama wameridhia hao wahusika sio tamaduni yetu wa tz kwani tumekuwa waarabu sie.

Si sawa kwa mujibu wa maadili ya nani? Na utamaduni wa "tz" ndo upi huo? Manake sijawahi sikia kuwa kuna uniformity katika huo so called utamaduni wa tz!!!

Hivi hakuna makabila ambapo wanaume wanarithi wadogo za wake zao endapo wake zao wakifa?
 
Kimadili si sawa hata kama wameridhia hao wahusika sio tamaduni yetu wa tz kwani tumekuwa waarabu sie.
Ila maadili yetu si yanaruhusu baadhi ya ndugu kuoana?Mabinamu kwa mfano..sasa kwanini isiwe sawa kwa hawa pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…