Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hapo red hapana udanganyifu, mimi nasema ni sawa na ni vyema kabisa.Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
Nionavo siyo heshima hata kiduchu, na kinyume chake ni ubatili m2puEti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
tatizo hii kesi mnaichukulia kiwivu wakati mleta mada kasema kuna mariziano. pengine dada kaona mkaka ana mapenzi lakini msumari ni mrefu akaamua kumpasia dadake kwavile dada ni mtundu zaidi? hamuoni kuna hekima imejificha? hapa greti thinka nimethink beyond great thinking capacity.Mmmmh yani ananiacha mimi anamuoa mdogo wangu, hapana haileti afya hata kidogo.
ni sawa kwa logic ya kawaida......ila kwa kimaadili kama walivyosema inaonekana si sawa......inategemea waliachana kwa nini na level ya uhusiano wa kaka na dada mtu.......:washing:
dearest kuna kitu huniambii????
Eti jamani kama msichana amewahi kuwa na mtu alafu wakaachana...huyo kaka akija kumuoa dada wa msichana ni sawa?Hapo wote wanajua na wameridhia sio kinyemela!
Dearest yani we acha tu!Kwanza nijuze uzima wako kabla sijakupa presha!ni sawa kwa logic ya kawaida......ila kwa kimaadili kama walivyosema inaonekana si sawa......inategemea waliachana kwa nini na level ya uhusiano wa kaka na dada mtu.......:washing:
dearest kuna kitu huniambii????
Kloro kwahiyo we unaona poa kabisa?tatizo hii kesi mnaichukulia kiwivu wakati mleta mada kasema kuna mariziano. pengine dada kaona mkaka ana mapenzi lakini msumari ni mrefu akaamua kumpasia dadake kwavile dada ni mtundu zaidi? hamuoni kuna hekima imejificha? hapa greti thinka nimethink beyond great thinking capacity.
Kama wote wahusika wameridhia, tena kwa dhati kabisa sioni kwa nini isiwe sawa! Natumaini ya kabla ya kufikia maridhio walijadili kila kitu kwa uwazi na ukweli na hatimaye kufikia hilo hitimisho la kuridhia.
So why would anyone have beef?
Kimadili si sawa hata kama wameridhia hao wahusika sio tamaduni yetu wa tz kwani tumekuwa waarabu sie.