Msaada!

a.Kama uko tayari kubeba mzigo hua changamka mama...ila tahadhari..Kloro anafit kwenye vifungu vyote vya wanaume wa kukwepwa!
unachafua CV ya mheshimiwa, nitakata huduma muhim ujue ,wee endelea tu
 
halaf huyu lizzy inaonekana wazee wake wanajiproud kweli kwamba mtoto wao kajiunga JF na anapost sred jukwaa la MMU. sifafanui zaidi ya hapa

hahahaha,,ongeza tu ila usisahau kuwa wanasema kabinti kao ndo kamod au invisible kabisa,,,lol!kumbe kanatupa kazi ya kukasaidia mpaka usiku huu
 
halaf huyu lizzy inaonekana wazee wake wanajiproud kweli kwamba mtoto wao kajiunga JF na anapost sred jukwaa la MMU. sifafanui zaidi ya hapa
Rafiki yangu pamoja na Liz kunikataa lakini siwezi kubali umfanye hivi slow down bana.
 
Orait!WL mchukue Kloro...najua sifa zake japo sio nzuri sana bado analipa!

lizzy huyu kloro nna wasiwasi kama yuko kny wale wakukwepa itanipa shida,,hebu niombe kwa dk 3 ntajua
 
Rafiki yangu pamoja na Liz kunikataa lakini siwezi kubali umfanye hivi slow down bana.
Hivi Uporoto ikitokea nimeachwa nikaja kwako utanipokea?Maana unanijali sana!Mpaka raha!
 
hahahaha,,ongeza tu ila usisahau kuwa wanasema kabinti kao ndo kamod au invisible kabisa,,,lol!kumbe kanatupa kazi ya kukasaidia mpaka usiku huu
wakikasifu ka lizzy kao wanasema! kamefeli form 2, lakini kana akili kweli kameamua kujiendeleza JF. mia
 
habari zenyu za mida hii wapendwa!
napita tu, naendelea kuvuta shuka langu vizuri hapa!
 
wakikasifu ka lizzy kao wanasema! kamefeli form 2, lakini kana akili kweli kameamua kujiendeleza JF. mia
Na harakati za kugombea umod ambao ni sawa na ubunge nimeshawajulisha!
 
Rafiki yangu pamoja na Liz kunikataa lakini siwezi kubali umfanye hivi slow down bana.
dah! kamanda naona umeamua kuja na gia mpya! greti thinka nimekuelewa bana! acha niachie accelarator.
 
Hivi Uporoto ikitokea nimeachwa nikaja kwako utanipokea?Maana unanijali sana!Mpaka raha!
Nafahamu utoto unakusumbua na mwishowe utakuja kwangu wala sina wasiwasi nafasi yako ipo wazi I'LL BE WAITIN FOR YA.
 
naomba kukumbushwa hii sred lizzy alitaka nini jamani ili nilale,,,,:sleepy:
 
...connecting the d.o.t.s...!
Sawa 'dada'ke!' :A S 41:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…