Msaada

Zheneba

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
75
Reaction score
9
Nina mpnz wangu sasa tuna miez 9, ninampenda lakn simuelewi kabsa Hajawah kuniambia i love you wala i mic you yan tuko kama marafiki coz hatufanyi chochote kichoashilia mapenzi, kanitambulisha kwa baba zake wadogo wawili,hataki nivae suruali,anataka nibadili dini,ananiambia cwz kukuahidi kama tutaoana, nikimwambia i love you ananijibu asante, amefungua NGO hataki kuniajili eti kazi hazitaenda ameajili wengne na mm cna kaz JAMANI HIVI KWELI ANANIPENDA?
 
1. Heri hajakuajiri Tafta kazi sehemu nyingine
2. Tayari kuna kikwazo cha dini, je kuna future mbele yenu?
3. Inaonyesha kama mwenzio hayupo nawe. We ndo umeng'ang'ania. Vunja ukimya. Msome mpenzi wako si ajabu kesha move on kitambo
 
swali la nyongeza, unataka wewe na mpenzio "mfanye" nini kuashiria mapenzi?
 
Miezi 9 hamfanyi chochote kinachoashiria mapenzi!Unamaana hata MAPENZI yenyewe hamfanyi?
 
halafu Mijipenzi mingine bhana anataka ubadili dini, halafu hawezi kukuahidi kama mtaoana.
Na wewe akhaaa umeridhikaaaaa? Kusoma hujui hata picha nayo huelewi? Mweeh
 
duuuu,jamani w.me attention muhimu kwa mpenzi wako.w.ke vijimaneno vya mapenzi tu,vinaturidhisha na kutufanya tuwe kwenye mudi nzuri.leo hii unamchukulia mwenzio kama rafiki tu,haifai.kuweni romantic.pole mwaya,huyo mtu inaonyesha ata ku control tu,akuwekee yeye masharti,wakati yeye mwenyewe hakutimizii ya kwako.utaishia kuumizwa tu,na suala la kubadili dini,ni kitu kikubwa sana
 
inaonekana umevumilia kwa kuwa huyo jamaaa anavihela kiasi. hakutaki acha kujipendekeza tafuta wako hata km atakuwa maskini
 
halafu Mijipenzi mingine bhana anataka ubadili dini, halafu hawezi kukuahidi kama mtaoana.
Na wewe akhaaa umeridhikaaaaa? Kusoma hujui hata picha nayo huelewi? Mweeh
kupenda jaman we acha 2.
 

asante mwaya
 
dada pole sana, ongea nae na mwambie yanayokukera, kuna watu wengine hata km wanakupenda hawezi kukuambia i love u, inakuwa moyon mwake tu, utafit unaonyesha kuwa wale ma 'gwiji' wa ku chit ni wepes sana kutoa maneno ya kiromantik ili kuwanasa! Ila wale ambao hawachit huwa wagumu sana kusema i love u! Msome huyo jamaa yakn km kwel ana filin na ww
 
tulikuwa tunafanya lakin miez 4 iliyopita et anasema ni dhambi

Kwa hiyo kabla hakuiona hiyo dhambi akaja kugundua baadae sio!Nikwambie kitu?,,,Akufukuzae hakwambii TOKA ila utaona mambo tu yanabadilika.Hakutaki huyo!Ukweli ndo huo.
 

in red...
mkuu nashukuru kwa kulitambua hilo kundi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…