Zheneba
Member
- Aug 5, 2011
- 75
- 9
Nina mpnz wangu sasa tuna miez 9, ninampenda lakn simuelewi kabsa Hajawah kuniambia i love you wala i mic you yan tuko kama marafiki coz hatufanyi chochote kichoashilia mapenzi, kanitambulisha kwa baba zake wadogo wawili,hataki nivae suruali,anataka nibadili dini,ananiambia cwz kukuahidi kama tutaoana, nikimwambia i love you ananijibu asante, amefungua NGO hataki kuniajili eti kazi hazitaenda ameajili wengne na mm cna kaz JAMANI HIVI KWELI ANANIPENDA?