Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
Jamani naomba msaada hivi hamna dawa ya kuondoa uvimbe katika figo bila ya kufanyiwa operesheni naomba msaada wenu kama hiyo dawa ipo mana operesheni za siku hizi haziaminiki mara dokta kakosea kushona yaani naogopa sana.