Msaada

Msaada

Prezdaa Shaco

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
46
Reaction score
8
Jamani naomba msaada hivi hamna dawa ya kuondoa uvimbe katika figo bila ya kufanyiwa operesheni naomba msaada wenu kama hiyo dawa ipo mana operesheni za siku hizi haziaminiki mara dokta kakosea kushona yaani naogopa sana.
 
umeshatumia dawa gani kwa hilo tatizo mkuu?
 
Dawa ipo,ninadawa nzurisana inayokwangua uvimbe wote kwenye figo,pia inayosafisha mfumo mzima wa kibofu cha mkojo,dozi yake ni kwa mda wa wikitatu tu unakuwa ukosafikabisa.kama unaitaji ntafute 0759217720.
 
Back
Top Bottom