msaada

msaada

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
284
naomba kufahamishwa ni vitu gani vinahitajika wakati wa kusajiliwa kwenye chuo ulichopangiwa
 
Kila chuo kina utaratibu wake kwa hiyo ingia kwenye website zao ila kwa ujumla,
1,nakala zako za vyeti vya shule(original)
2,kitambulisho chako(cha kura au leseni ya udereva au cha mkazi)
3,risiti ya ada uliolipa(Kama huna mkopo kabisa au kwa asilimia mia)
4,kuna fomu za kusajiliwa mwanafunzi mpya,ipo kwenye website za chuo
 
asante mkuu kwa maelezo hayo
 
Back
Top Bottom