Machmadem
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 758
- 936
- Thread starter
- #61
Swa mkuu vip ya kwako ilipona kbsa na mpk now haina shida yyoteHilo tatizo ni dogo sana hata fundi uchwara anaweza kutengeneza maana hiyo spika haina mtambo wowote kuna nyaya mbili tu humo.
Shida ni hiyo deki kama ikiharibika ndo mwisho wa picha maana hata mafundi wakuu wanaiogopa