MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

Na mim niko na wazo hilo hilo mkuu maaana kubadili sub nzima ni gharama
hiyo itakuwa
ohms 8/4

ukiifungua ukienda nayo mjini utapata zinazofanana. kikubwa iwe na watt na upana husika.

bei haitozidi 30k
 
Mkuu ukiniuzia itakuwa bei gani
tapatalk_1562266590781.jpeg
 
Nje ya mada, ilikugharimu hela ngapi kuinunua mkuu?
Mkuu tujadil jins ya kutatua tatzo hilo kwaza ata nikikwambia bei haina maana any way 650k model DAV 350 watt 1000 hvo labda utaridhika.
 
Nashukur mkuu ubaya sasa ata hilo box sijui liko wap
Nikirudi gheto ntaangalia namba maana mi kilakitu kipo,
Ila kama warrant card huna sasa hauta tengenezewa bure naama utakuwa hata hujui terms and conditions za warrant,
Utawapigia customer care ila hawatakuambia chochote zaidi ya kwenda na iyo system na warrant card,

Kama ume violate terms uende na hela
 
hata angekuwa na wallant card na bado haijaisha asingetengenezewa bure
 
hata angekuwa na wallant card na bado haijaisha asingetengenezewa bure
Mimi walinambia watanitengenezea bure maana terms and conditions za warrant sikuvunja.

Sema sikuwapekea maana nakaa mkoani siwezi kutoka Mwanza niende kutengeneza Radio dar usafiri nenda rudi na redio nikaona usenge
 
Hilo tatizo ni dogo sana hata fundi uchwara anaweza kutengeneza maana hiyo spika haina mtambo wowote kuna nyaya mbili tu humo.

Shida ni hiyo deki kama ikiharibika ndo mwisho wa picha maana hata mafundi wakuu wanaiogopa
 
Back
Top Bottom