The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mi mkuu ninayo ile ya 140..hii ni ya kijana wa wastaniMkuu wewe kwel unahata redio kwel mana umeshupalia kwel kama wewe ndio ulie nielekeza vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mkuu ninayo ile ya 140..hii ni ya kijana wa wastaniMkuu wewe kwel unahata redio kwel mana umeshupalia kwel kama wewe ndio ulie nielekeza vile
Spika ya ndani kwani kuna spika ya nje?Speaker kubwa ndo imepata majanga hayo hvo sauti haitoki inamaa kuwa kilichoathirika ni speaker ya ndani
hiyo itakuwaNa mim niko na wazo hilo hilo mkuu maaana kubadili sub nzima ni gharama
Nje ya mada, ilikugharimu hela ngapi kuinunua mkuu?Amekula speaker mkuu
Nashukur mkuu ubaya sasa ata hilo box sijui liko wapKama ulinunua system mpya angalia kwenye warrant card kuna namba za simu na addresses za sony service center zote Afrika mashariki na kati, utaenda iliyo karibu ila kwa Tz ipo moja tu uloelekezwa na mdau kwa post namba 3
Mimi nilianzishaga huu uzi tatzo kama lako https://www.jamiiforums.com/threads...av-dz350-subwoofer-haitoi-sauti-bass.1540555/
Sina wazo hilo mkuu mana mmi ni madau mzul sana wa musicMkuu ukiniuzia itakuwa bei ganiView attachment 1146860
[emoji106]Mkuu tujadil jins ya kutatua tatzo hilo kwaza ata nikikwambia bei haina maana any way 650k model DAV 350 watt 1000 hvo labda utaridhika.
Nikirudi gheto ntaangalia namba maana mi kilakitu kipo,Nashukur mkuu ubaya sasa ata hilo box sijui liko wap
hata angekuwa na wallant card na bado haijaisha asingetengenezewa bureNikirudi gheto ntaangalia namba maana mi kilakitu kipo,
Ila kama warrant card huna sasa hauta tengenezewa bure naama utakuwa hata hujui terms and conditions za warrant,
Utawapigia customer care ila hawatakuambia chochote zaidi ya kwenda na iyo system na warrant card,
Kama ume violate terms uende na hela
Mkuu ulinunua bei gani? Na wapi ?Sina wazo hilo mkuu mana mmi ni madau mzul sana wa music
Mimi walinambia watanitengenezea bure maana terms and conditions za warrant sikuvunja.hata angekuwa na wallant card na bado haijaisha asingetengenezewa bure