MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

Hilo tatizo ni dogo sana hata fundi uchwara anaweza kutengeneza maana hiyo spika haina mtambo wowote kuna nyaya mbili tu humo.

Shida ni hiyo deki kama ikiharibika ndo mwisho wa picha maana hata mafundi wakuu wanaiogopa
Swa mkuu vip ya kwako ilipona kbsa na mpk now haina shida yyote
 
Swa mkuu vip ya kwako ilipona kbsa na mpk now haina shida yyote
Ilipona ila sasa hiyo spika ni ngumu kuifingua haina nati hilo bati la mbele ni gumu kulibandua.
Fundi kipindi anafungua hakuyeyusha gundi zilizo kwa nadani bati likapata cracks kwa pembeni.
shida nikila ngoma nzito au nikiwa nacheki movie bomu likalipuka bati linapulizwa hadi nalisikia saivi na mpango wa kulitoa spika ibaki uchi ila spika haina shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…