Msadaa kwa hili wadau wa elimu

Msadaa kwa hili wadau wa elimu

Hawana comp science. Ila IT,ICT, Comp science zinawekwa kundi moja katika ajira.
Heri usome tu hiyo ICT maana ndiyo iko karibu na wewe.
IT awana pia kaka tatizo malengo Yangu must nisome computer science au IT then ndyo passion yangu
 
Sasa nawewe ilikuaje ukasoma PCB A LEVEL, ama umekuja kugundua passion yako baada ya matokeo kutoka.
Ndyo Maana nimesema naomba USHAURI tena unanilaumu kakandyo nimekugundua baada ya kumaliza ila nimeambiwa naweza soma na Uongozi fulan wa chuo kikuu
 
Twende kazi karibu kwenye uwanja huu wa Basics of MATLAB

Anzia hapa
 
ILA CHETI CHANGU CHA FORM 6 NA 4 SOMO LA BASIC MATH NINA " F"
Computer science huingii km una F ya HESABU, sasa kwenye OFP HESABU ulipata Grade ipi ambapo GPA inasoma 3.5?

Na kukuambia mapema computer science ni HESABU sio maigizo sasa km huwezi HESABU jichenge mapema sana data analysis and algorithm, data mining ni HESABU, OOP ni hesabu ni HESABU ni HESABU, computing in general ni HESABU lazima ujue calculations tena sio za kuungaunga ni PURE MATHEMATICS km BAM ilikupigisha chafya je PURE utaweza?

Jiulize kwanza
 
Niko teyari hesabu kwa hesabu yoyote Niko teyari ata kujifunza tution ila must nisome computer science
 
Back
Top Bottom