Future eyes
Senior Member
- May 30, 2022
- 128
- 71
Foundation program ni NTA level 6 kama ilivyo diplomaAnayefahamu kuhusu Foundation program anieleweshe kidogo Ina tofauti gani na Diploma!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Foundation program ni NTA level 6 kama ilivyo diplomaAnayefahamu kuhusu Foundation program anieleweshe kidogo Ina tofauti gani na Diploma!??
IT awana pia kaka tatizo malengo Yangu must nisome computer science au IT then ndyo passion yanguHawana comp science. Ila IT,ICT, Comp science zinawekwa kundi moja katika ajira.
Heri usome tu hiyo ICT maana ndiyo iko karibu na wewe.
Shukrani mkuuFoundation program ni NTA level 6 kama ilivyo diploma
IT na ICT ni kitu kimoja acha kujichanganyaIT awana pia kaka tatizo malengo Yangu must nisome computer science au IT then ndyo passion yangu
Hapna Sitaki afya sio passion yanguHiyo PCB c Bora ungeanza diploma ya CO/Clinic office
Sasa nawewe ilikuaje ukasoma PCB A LEVEL, ama umekuja kugundua passion yako baada ya matokeo kutoka.Hapna Sitaki afya sio passion yangu
Ndyo Maana nimesema naomba USHAURI tena unanilaumu kakandyo nimekugundua baada ya kumaliza ila nimeambiwa naweza soma na Uongozi fulan wa chuo kikuuSasa nawewe ilikuaje ukasoma PCB A LEVEL, ama umekuja kugundua passion yako baada ya matokeo kutoka.
Twende kazi karibu kwenye uwanja huu wa Basics of MATLABNdyo Maana nimesema naomba USHAURI tena unanilaumu kakandyo nimekugundua baada ya kumaliza ila nimeambiwa naweza soma na Uongozi fulan wa chuo kikuu
Computer science huingii km una F ya HESABU, sasa kwenye OFP HESABU ulipata Grade ipi ambapo GPA inasoma 3.5?ILA CHETI CHANGU CHA FORM 6 NA 4 SOMO LA BASIC MATH NINA " F"
Twende kazi karibu kwenye uwanja huu wa Basics of MATLAB
Anzia hapa
Niko teyari hesabu kwa hesabu yoyote Niko teyari ata kujifunza tution ila must nisome computer scienceComputer science huingii km una F ya HESABU, sasa kwenye OFP HESABU ulipata Grade ipi ambapo GPA inasoma 3.5?
Na kukuambia mapema computer science ni HESABU sio maigizo sasa km huwezi HESABU jichenge mapema sana data analysis and algorithm, data mining ni HESABU, OOP ni hesabu ni HESABU ni HESABU, computing in general ni HESABU lazima ujue calculations tena sio za kuungaunga ni PURE MATHEMATICS km BAM ilikupigisha chafya je PURE utaweza?
Jiulize kwanza
Foundation program ni NTA level 6 hivyo ipo sawa na ordinary diplomaTeyari
Ninacheti Cha foundation certificate sitaki kuanza diploma
TEKU gani yenye Bachelor ya computer science be informed and updated.Nenda TEKU University Mbeya a.k.a Green City..... na cheti cha six kaanze Diploma ya IT miaka miwili then unaunga hapohapo Degree ya Computer Science
Ipo kk nowdaysTEKU gani yenye Bachelor ya computer science be informed and updated.