Bila picha huu ni umbea tuMsafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.