Katono Mruma
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 131
- 84
Mimi nadhani msafara wa magari 20 sio mkubwa. Tujikite kuwajibu Hoja zao, Haya madogo yasitupotezee muda.Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.