Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

Bila picha huu ni umbea tu
 
Chadema nacho chama?. Hiyo ni saccos ya mjasiriamali Mbowe , inayotamani kupata ridhaa kwa watanzania. Mungu yupo, na hatakubali nchi hii iangukie mikononi mwa walamba asali.
 
Sisi sio wanyonge
 
Chadema nacho chama?. Hiyo ni saccos ya mjasiriamali Mbowe , inayotamani kupata ridhaa kwa watanzania. Mungu yupo, na hatakubali nchi hii iangukie mikononi mwa walamba asali.
Wewe ni nani zaidi ya kikaragosi cha mafisadi wa CCM! Endelea kulamba matako ya mabwana zako!
 
AKILI NDOGO UKIKUWA NA AKILI UNGEANZA NA WABUNGE FAKEN19 WANALIPWA KODI ZA MASIKINI
 
I see!
 
sio gari 50 na helkopter juu kama 5
 
Kwani wanaoingia kwenye msafara wamelazimishwa wajiunge na msafara au wamependa wenyewe. Unaelekea kukosa hoja na uache wivu na chuki binafsi.
kinachoangaliwa ni picha halisi ya msafara hata kama kuna gari binafsi za watu waliojitolea wananchi hilo hawalijui .mwishon watasema tu
 
Utamtoa je mtu aliyejitolea gari lake, na mafuta yake ,pamoja na muda wake ,kwenye msafara wa mwenyekiti wa chama chake cha chadema?!
 
Wabongo hamna dogo
 
Gharama zote ni za chama, hapo Kuna upigaji na udalali mwingi
Wewe ndio afisa masuhuri wa chama au unaandika kwakua unadhani hivyo! Umri wako na uchanga wa akili unachngia kwa kiasi kikubwa katika kile unachoandika.
Chama hakipati ruzuku watu wanajitolea fedha na Magari yao wewe unaumia lakini haikuumi CCM kutumia majengo ya umma Kama ikilu ambayo inahudumiwa naserikali kwa Mambo ya kichama?
 
Kubana matumizi Huwa ni porojo za kudanganya wajinga ,hata kusema mashangingi mbona hawatembelei kirikuu? 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…