Katono Mruma
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 131
- 84
Mimi nadhani msafara wa magari 20 sio mkubwa. Tujikite kuwajibu Hoja zao, Haya madogo yasitupotezee muda.Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Whats magari 20? Am sure ambayo yapo fuelled na pesa za chama hayazid 6. Unlike ule msafara ya Chongolo ambao magari yote 70 yanakuwa fuelled na kodi za wananchi. Huwez kiniambia DEDs, DCs na DASs + wakuu wa idara na Taasisi zingine wanakuwa fuelled na CCM. We knw you bro!!Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu.
Sasa kikubdi chenu nacho kimeiga huko huko tena? Na hapo hamjapewa hata Jimbo mojaa, jeee baadae mkipata si mtafirisi Taifa letu.Misafara inayolitia hasara Taifa ni ile ya MaV8 kusema na ule ukweli.
Wao yule Mzee wa ushuda alisema msafara wa raisi unatumia magari mengi, ndio maaana na Leo tunajibu hoja hiyo ya kiongozi wenu ambapo na nyiee hili limewakuta na mkiwa hamjapata ata Jimbo mojaa,Mimi nadhani msafara wa magari 20 sio mkubwa. Tujikite kuwajibu Hoja zao, Haya madogo yasitupotezee muda.
Weka picha Chinembe. Acha soundMsafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Unaongelea wingi wa viongozi wa chama cha siasa CHADEMA kukutanika au wingi wa magari yao au wingi wa magari ya chama chao au wingi wa magari ya serikali au kitu gani??!Usiwe mjinga, je unafahamu ni viongozi wangapi wamehusika katika uzinduzi wa mikutano hiyo?
Kwa akili yako unataka viongozi zaidi ya 20 wapande shangingi moja! Kumbuka wako viongozi wa kitaifa, kanda, mkoa na wilaya husika!
- huu ni Uongo,Gharama zote ni za chama, hapo Kuna upigaji na udalali mwingi
Hakuna chama hapo, utamaduni wa watanzania ni uleule tu. Siamini kunaweza mabadiliko yoyote katika maisha ya watu eti kwa sababu ya chama hiki.Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Gharama zote ni za chama, hapo Kuna upigaji na udalali mwingi
Hawa watu kama matumizi yao yako hivi; naomba sana wajenge angalau darasa moja tu la shule ya msingi; naomba sanaMsafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Hayo ni magari na gharama za watu binafsi.Wadau wamejitolea si fedha serikali.Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Watu mengine wamejawa wivu tu kwani magari yote yamesajiliwa CHADEMA? Hata nikiwa la kwangu nnikafuata nyuma na ninafahamika na chama si sawa tu?Akienda na gari mbili mnasema wenzake wamemsusia Chama
Acha wapate vya kuongea ili vifo vitokanavyo na stress vipungueWatu mengine wamejawa wivu tu kwani magari yote yamesajiliwa CHADEMA? Hata nikiwa la kwangu nnikafuata nyuma na ninafahamika na chama si sawa tu?
Watu hawakosi cha kusema kama vile "jicho" halikosi harufu ya kinyesi.Akienda na gari mbili mnasema wenzake wamemsusia Chama