16 March 2025Songwe, Tanzania
View attachment 3271281
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman ni mwenyekiti Tundu Lissu, kiongozi mkuu Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... wote kutoka Tanzania pamoja na makamu wa rais wa kwanza wa SMZ mheshimiwa Othman walitimuliwa..
Makamu wa Rais Othman OMO Amshangaa Wasira Kupotosha Yaliyotokea Angola, Asema Ameipaka Matope Serikali
View: https://m.youtube.com/watch?v=h6ZZfMC_gCg