Uchaguzi 2020 Msafara wa Catherine Ruge wapigwa mabomu na Polisi akirejesha fomu ya kugombea Ubunge

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
957
Msafara wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Catherine Ruge wa CHADEMA Mkoani Mara umezuiliwa kwa kupigwa Mabomu na Jeshi la Polisi Wilayani Serengeti kipindi akirejesha fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Serengeti.

IMG_20200710_130854.jpg
 
Kichwa cha habari Esther matiko...habari yenyewe Catherine Ruge

Weka sawa hapo
 
Mambo mengine ni ya kis*ng* kweli hiyo unayorudisha ni form ya chama chako mikelele kibao na vurugu, bado NEC haijatoa ratiba yoyote ya uchaguzi mwaka huu,
Sasa ingekuwa unarudisha form ofisi ya jimbo si ungetembea na chupi kichwani.
Chapa kabisa hao ndio wanaturetea vurugu, kwanza chama chako bado hakijakuteua
 
Una umri gani ?
 
Mama/dada, mbona unatukana hivi?
Mambo mengine ni ya kis*ng* kweli hiyo unayorudisha ni form ya chama chako mikelele kibao na vurugu, bado NEC haijatoa ratiba yoyote ya uchaguzi mwaka huu,
Sasa ingekuwa unarudisha form ofisi ya jimbo si ungetembea na chupi kichwani.
Chapa kabisa hao ndio wanaturetea vurugu, kwanza chama chako bado hakijakuteua
 
Pity, this time around wameanza mapemaa kabla hata ya kipenga cha campaigns kupulizwa

Sijui ni threats
 
Back
Top Bottom