Uchaguzi 2020 Msafara wa Catherine Ruge wapigwa mabomu na Polisi akirejesha fomu ya kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Msafara wa Catherine Ruge wapigwa mabomu na Polisi akirejesha fomu ya kugombea Ubunge

Acha kumkejeli MUNGU, MUNGU hawezi kutoa baraka kwa wafuasi wa shetani aka kizazi Cha [emoji216]
Nadhani wamzungumzia yule mungu wenu aliekubali kushauriwa kumshukuru ze Jiwe. Huyo ndie anaongozwa na mitizamo ya hila, visasi, ukatili, ukandamizaji wa ze Jiwe
 
Nadhani wamzungumzia yule mungu wenu aliekubali kushauriwa kumshukuru ze Jiwe. Huyo ndie anaongozwa na mitizamo ya hila, visasi, ukatili, ukandamizaji wa ze Jiwe
Habari ndio hiyo bwashee
 
Catherine rugemalila mhaya watu wa mara mumekosa mzawa Hadi mhaya Catherine Ruge agombee ? Chadema tafuteni mgombea mzawa
 
Nchi huru na watu wake wapo huru,mwache afanye anachoona ni sahihi,wapi amevunja sheria.? Punguza mhemuko dada mimba yako isijetoka kwa jazba.
Mambo mengine ni ya kis*ng* kweli hiyo unayorudisha ni form ya chama chako mikelele kibao na vurugu, bado NEC haijatoa ratiba yoyote ya uchaguzi mwaka huu,
Sasa ingekuwa unarudisha form ofisi ya jimbo si ungetembea na chupi kichwani.
Chapa kabisa hao ndio wanaturetea vurugu, kwanza chama chako bado hakijakuteua
 
Polisi wamechoka kutumika kiboya sasa wamekuja kivingine, japo watatuumiza lakini mwisho wa siku italipa kwani ndiyo wanaionyesha dunia udhalimu wa CCM.
 
Kama ni hii ni kweli inasikitisha mno. Tangu lini kumsindikiza mtu kurudisha fomu imekuwa kosa la kupiga raia mabomu ya machozi? Ikiwa majibu ni haya kwa mtu anayerudisha fomu itakuwaje siku wa
Catherine rugemalila mhaya watu wa mara mumekosa mzawa Hadi mhaya Catherine Ruge agombee ? Chadema tafuteni mgombea mzawa

Kama ni mzawa aliyeolewa na mhaya? Au ambae mama yake ni mzawa na baba yake mhaya? Au ikiwa anakubalika zaidi na wazawa wa huko kuliko watoto wao kwa heshima na upendo alioonyesha kwao?

Amandla...
 
Niwashukuru tu polisi wanafanya kazi nzuri Sana ya kuwafanya wananchi waichukie ccm.
 
Nimemuona mwenyewe anasema kuwa hizo ni rasha rasha tu za wana serengeti maana kuna wanachama na wapenzi wake na cdm wamelazimika kuwaomba wabakie majumbani maana hali ingekuwa hatari
Msafara wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Catherine Ruge wa CHADEMA Mkoani Mara umezuiliwa kwa kupigwa Mabomu na Jeshi la Polisi Wilayani Serengeti kipindi akirejesha fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Serengeti.

View attachment 1502720
 
Back
Top Bottom