Uchaguzi 2020 Msafara wa Catherine Ruge wapigwa mabomu na Polisi akirejesha fomu ya kugombea Ubunge

Ila nae sasa amezidi..hadi kurudisha fomu nako msafara?..ulikua una ulazima gani?
 
Sasa hapo cha ajabu ni nini kwa ambayo mapoliccm yamekwishawafanyia machadema
 
Athari ya kuweka wasimamizi wa vyombo hivi vya dola kuwa makada watiifu wa chama.

Sasa jeshi linaonekana kutumika kisiasa sababu tu ya Mkuu wa wilaya na Mkoa ambao ni wana CCM na ndiyo wasimamizi wa vyombo hivi kwenye maeneo yao.

Hivi ni viashiria tosha kwamba sasa tunakwenda vitani...sababu sioni na safari hii kama CDM watakubali kutobolewa ugali machoni.
 
Mambo mengine ni ya kis*ng* kweli hiyo unayorudisha ni form ya chama chako mikelele kibao na vurugu, bado NEC haijatoa ratiba yoyote ya uchaguzi mwaka huu,
Sasa ingekuwa unarudisha form ofisi ya jimbo si ungetembea na chupi kichwani.
Chapa kabisa hao ndio wanaturetea vurugu, kwanza chama chako bado hakijakuteua
Kwani kna shida gani
Mbn wakina diamond harmonise Kiba Wanakuwa na misafaara yao

Ova
 
Mambo mengine ni ya kis*ng* kweli hiyo unayorudisha ni form ya chama chako mikelele kibao na vurugu, bado NEC haijatoa ratiba yoyote ya uchaguzi mwaka huu,
Sasa ingekuwa unarudisha form ofisi ya jimbo si ungetembea na chupi kichwani.
Chapa kabisa hao ndio wanaturetea vurugu, kwanza chama chako bado hakijakuteua
Hii kauri ya kipumbavu ni ya kibinti furani cha Mlowo Mbozi, hiki kibinti kijeuri na fedhuri sana huewezi aminini.
 
Mambo mengine ni ya kis*ng* kweli hiyo unayorudisha ni form ya chama chako mikelele kibao na vurugu, bado NEC haijatoa ratiba yoyote ya uchaguzi mwaka huu,
Sasa ingekuwa unarudisha form ofisi ya jimbo si ungetembea na chupi kichwani.
Chapa kabisa hao ndio wanaturetea vurugu, kwanza chama chako bado hakijakuteua
Vipi mumeo hajambo??!
 
Hivi hawa askari hawana watoto,wake ,wazazi na ndugu...kawachapeni hao watu wao wa karibu wataacha upimbi
 
Back
Top Bottom