abackuk
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 194
- 190
Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa