Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

No.

Nchi Haina Rais wala makamu wa Rais.

Tuna lidubwasha tu lililojipachika kisa lina watu wenye silaha za moto wanaoliunga mkono.
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Sema walinzi wa viongozi unaona kabisa hamna shughuli hapo na washukuru hakuna makundi ya waasi mpaka sasa,nimeangalia hapo naona karibu wote wana vitambi kama nyoka kameza chura,hii ni hatari washukuru watanzania ni waoga ila ingekuwa kama congo au Nigeria hao walinzi wangeacha ndala
 
Kama heche anavyozichezea pesa za michango ya chadema
Bora hata hizo za Chadema makada wanatoa kwa hiyari. Hakuna aliyelazimishwa. Hizo za kwenu mnazipata kwa laana ya kuwakandamiza wanyonge kwa mikodi na mitozo lukuki kwenye bidhaa ili nyinyi mafisi wachache muishi maisha ya kifahari na familia zenu.
 
Jamaa anakupa somo kuwa hata Nchimbi alikuwa na cheo hicho hicho. Akaendelea kukuusia dunia ni duara be humble ila wewe unamletea habari za Mbowe, so fuckin irrelevant.
Lingelikuwa jambo jema kama angelimhusia Lissu na Heche wanaomini Chadema ni yao na wakati wameikuta! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom