Msafara wa Mwalimu Nyerere mitaa ya Gerezani 1970s

Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.

Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.

P
 
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere ili atangazwe Mwenye Heri na baadae atangazwe Mtakatifu.
P
Hili la kufanywa mtakatifu mimi silifagilii kama mkatoliki.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere ili atangazwe Mwenye Heri na baadae atangazwe Mtakatifu.
P
Kwa huu uchokozi sidhani kama atakujibu.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere ili atangazwe Mwenye Heri na baadae atangazwe Mtakatifu.
P
Haha, ngoja arudi.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
P
Hilo ni jambo jema kwani zitaongeza sifa za Baba wa Taifa.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
Yan Nyerere huyu mswahil tu tunayemjua mumfanye awe mtakatifu? Katoliki sijui mpoje?

Yan Nyerere awe mtakatifu? Kwahy Wakatolik wamwombe nyerere kama wanavyomwomba Yosef?

Tanzania kazi tunayo ya ziada!

Tusubir kizazi kingine tena baada ya hiki pengine kitakuja okoa hili taifa!

Yan Nyerere kakaa hapo butiama na kufundsha sijui pugu, leo hii umfanye kua mtakatifu mchana kweupe!!..
 
Mtaa mzima bila meza isipokuwa kwa Kleist, nimeipenda hiyo.
Gagnija,
Ukipitia kumbukumbu zake utashangaa sana.

Alikuwa na kinyozi wake makhsusi Muhindi akija nyumbani kwake kumnyoa na muda wote, ''smartly dressed.''

Jambo hili walimudu watu wenye fedha.
Jioni aliwachukua wanae kuendesha baiskeli zao Mnazi Mmoja.

Waafrika wachache sana waliweza kumudu haya katika 1930s ya kuwanunulia baiskeli watoto zao.

Utafiti unakupa mambo mengi bila ya kutegemea.

Mimi nimependa mengi sana.
 
Mayalla,mayalla unajua maana ya Mtakatifu? Tuanzie hapo
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
Yote upo sawa ila la kuwa mwenye kheri na alichokifanya Zanzibar sidhani km anayo sifa hiyo...
 
Yan Nyerere huyu mswahil tu tunayemjua mumfanye awe mtakatifu? Katoliki sijui mpoje?

Yan Nyerere awe mtakatifu? Kwahy Wakatolik wamwombe nyerere kama wanavyomwomba Yosef?

Tanzania kazi tunayo ya ziada!

Tusubir kizazi kingine tena baada ya hiki pengine kitakuja okoa hili taifa!

Yan Nyerere kakaa hapo butiama na kufundsha sijui pugu, leo hii umfanye kua mtakatifu mchana kweupe!!..
Nyerere akuwai kuwa mswahili wala akuwa na sifa ya kuwa mswahili. Japo Wazee wetu wa kiswahili ndio wamemfikisha hapo alipo fika...
 
Back
Top Bottom