Msafara wa Mwalimu Nyerere mitaa ya Gerezani 1970s

Msafara wa Mwalimu Nyerere mitaa ya Gerezani 1970s

Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.

Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.

P
Happy Nyerere Day!.
P
 
Wamfanyie tu huo utakatifu, mbona hawa walikuwa watakatifu, na sasa ndio ukatoliki umefika huku

1697357057490.png
 
Yan Nyerere huyu mswahil tu tunayemjua mumfanye awe mtakatifu? Katoliki sijui mpoje?

Yan Nyerere awe mtakatifu? Kwahy Wakatolik wamwombe nyerere kama wanavyomwomba Yosef?

Tanzania kazi tunayo ya ziada!

Tusubir kizazi kingine tena baada ya hiki pengine kitakuja okoa hili taifa!

Yan Nyerere kakaa hapo butiama na kufundsha sijui pugu, leo hii umfanye kua mtakatifu mchana kweupe!!..
Yaonekana umejawa inferiority complex.
Angekuwa mwarabu, mzungu au myahudi kapewa huo utakatifu usingeshangaa. No wonder ngoma za kiafrika ziliitwa za kipagan na weusi kwa ujinga tukasadifu.
 
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.

Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.

P
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Back
Top Bottom