Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanya nini Zanzibar?!Yote upo sawa ila la kuwa mwenye kheri na alichokifanya Zanzibar sidhani km anayo sifa hiyo...
Kumpeleka Kassim Hanga Zanzibar kwa Karume uku anajua kbs kipi kitafuata...Alifanya nini Zanzibar?!
Kwahy afanyike kuwa mtakatifu?Nyerere akuwai kuwa mswahili wala akuwa na sifa ya kuwa mswahili. Japo Wazee wetu wa kiswahili ndio wamemfikisha hapo alipo fika...
Sasa wazee wa kiswahili si walikua na ilim ya dini tu,yeye alikua na masters ya Uingereza mwaka 1958 kwanini asichukue hatamu.Nyerere akuwai kuwa mswahili wala akuwa na sifa ya kuwa mswahili. Japo Wazee wetu wa kiswahili ndio wamemfikisha hapo alipo fika...
Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
Hapo tuHapo wapi?!
Sina shida na ilo tatizo langu ni kumwita Mwalim Nyerere ni Mswahili umenielewa hapo kaka Mwalim akuwai kuwa Mswahili wala awezi kuwa na sifa ya kuwa Mswahili...Sasa wazee wa kiswahili si walikua na ilim ya dini tu,yeye alikua na masters ya Uingereza mwaka 1958 kwanini asichukue hatamu.
Atakuwa mtakatifu kwa "ukatoliki" wake achana na hiyo masters ya Uingereza kwa muda huoSasa wazee wa kiswahili si walikua na ilim ya dini tu,yeye alikua na masters ya Uingereza mwaka 1958 kwanini asichukue hatamu.
Hili halina shida kabisa muda wa kuwa watakao mtambua kwa utakatifu huo ni "Nyie Wakristu Wakatoliki".Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
Katika Ukristu dunia nzima, kanisa Kuu, Takatifu la Mitume, ni kanisa moja tuu, Katoliki, Takatifu la Mitume, hivyo Watakatifu wote ni Wakatoliki. Usikute hata Mungu ni ...Hili halina shida Hili halina shida kabisa muda wa kuwa watakao mtambua kwa utakatifu huo ni "Nyie Wakristu Wakatoliki".
Sifa za uswahili ni zipi? Wewe unazo labda?!Sina shida na ilo tatizo langu ni kumwita Mwalim Nyerere ni Mswahili umenielewa hapo kaka Mwalim akuwai kuwa Mswahili wala awezi kuwa na sifa ya kuwa Mswahili...
Belittling God the Almighty is sacrilegious. Nenda misa ya jioni ukaungame.Katika Ukristu dunia nzima, kanisa Kuu, Takatifu la Mitume, ni kanisa moja tuu, Katoliki, Takatifu la Mitume, hivyo Watakatifu wote ni Wakatoliki. Usikute hata Mungu ni ...
naomba nisimalizie nisije nikaparurwa.
P
Ilikuwa ni lazima Mwalimu afanye kazi na "Waswahili" maana ndio waliokuwepo Dar Es Salaam kwenye kitovu cha nchi na harakati kwa wakati huo, sasa mlitaka awalete Wazanaki Dar?Nyerere akuwai kuwa mswahili wala akuwa na sifa ya kuwa mswahili. Japo Wazee wetu wa kiswahili ndio wamemfikisha hapo alipo fika...
Nikaungame kwa kosa gani?, kwa dhambi gani?. Kwa kuusema ukweli kuhusu Ukatoliki?.Belittling God the Almighty is sacrilegious. Nenda misa ya jioni ukaungame.
Kaungame hiyo dhambi ya umauti ya kusema "usikute hata Mungu ni..." Nakushauri tu kama ndugu yako na mkatoliki mwenzako, usije siku moja ukajikuta ukisema laiti ningemsikiliza Gagnija...Nikaungame kwa kosa gani?, kwa dhambi gani?. Kwa kuusema ukweli kuhusu Ukatoliki?.
P
Kwa vile sikumalizia, then hakuna liability ya dhambi ya mawazo, japo Kikatoliki hata kuwaza ni dhambi, dhambi hii kwenye ile sala ya kutubu ya "Mungu Wangu, ninatubu sana dhambi zangu kwa mawazo, maneno na matendo, dhambi hizo zinakuwa zimefutwa, na hata usipo tubu na kuungama kwa padri, mwisho wa siku "Tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo".Kaungame hiyo dhambi ya umauti ya kusema "usikute hata Mungu ni..." Nakushauri tu kama ndugu yako na mkatoliki mwenzako, usije siku moja ukajikuta ukisema laiti ningemsikiliza Gagnija...
eo April 13, ni siku ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa Kwa muasisi wa Taifa Letu, Tanzania.Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P