Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Happy Nyerere Day!.Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
Babu alikua mkuda tuHappy Nyerere Day!.
P
Lazima wasio na utu wakuone unakoroga mambo.
Mkuu, nabii akubaliki kwao...Uganda ndio wanapambana afanyiwe canonization.Kuna uchokozi gani?
Je, Mwalimu Nyerere sio muasisi wa taifa hili?
Sio Baba pekee wa Taifa?
Hafanyiwi canonization?
Uchokozi hapo ni upi?
P
Yaonekana umejawa inferiority complex.Yan Nyerere huyu mswahil tu tunayemjua mumfanye awe mtakatifu? Katoliki sijui mpoje?
Yan Nyerere awe mtakatifu? Kwahy Wakatolik wamwombe nyerere kama wanavyomwomba Yosef?
Tanzania kazi tunayo ya ziada!
Tusubir kizazi kingine tena baada ya hiki pengine kitakuja okoa hili taifa!
Yan Nyerere kakaa hapo butiama na kufundsha sijui pugu, leo hii umfanye kua mtakatifu mchana kweupe!!..
Hatukuwa na hatujawahi kuwa raia wa mtu.May Day,
Nimejibu kuwa hilo ni jambo jema kwani sifa ya Baba wa Taifa itaongozeka.
Akisifika yeye ndiyo tumesifika sisi tuliokuwa raia zake.
May...Hatukuwa na hatujawahi kuwa raia wa mtu.
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Mkuu Maalim Mohammed Said, asante kwa kumbukumbu mujarab za huyu Mwalimu Nyerere ambaye ndie Muasisi wa Taifa letu na Baba pekee wa taifa hili.
Sisi Wakristu Wakatoliki, tuko kwenye mchakato wa canonization ili Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri na hatimaye awe Mtakatifu.
P
Mkuu Alama Maalim Mohamed Said , asante tena na tena kwa bandiko hili na simulizi hii.
Aliijenga nchi imara na kutuachia CCM mbovuLeo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali