Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Hahahaa, this is AfricaAfrica ni Africa tu wanaogopa kuuliwa maana wengi wao ni wezi wa mali ya umma na ubinafsi
Kabisa yani.Mkuu fahamu kuwa maskini siku zote hupenda sana mbwenbwe!
Hahahaa, wahenga hawakukosea.Maskini akipata matako.....
Lakn wakat ukifika watakufaAfrica ni Africa tu wanaogopa kuuliwa maana wengi wao ni wezi wa mali ya umma na ubinafsi
Mkuu, bandari zako unaanza kazi lini?Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
Onyesha na msafara wa DP World wanavyoenda bandarini kukagua kontena.Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
Kwani kuna aliyesema si jambo muhimu?usalama kwa viongozi ni jambo la muhimu
So what? Kidumu Chama cha MapinduziMsafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105
Kuna kitu wataogopa...Africa ni Africa tu wanaogopa kuuliwa maana wengi wao ni wezi wa mali ya umma na ubinafsi
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
View attachment 2763104
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
View attachment 2763105