Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi.

Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari kuelekea mjini Daura kusherehekea sikukuu ya Eid-ul-Adha mwisho wa juma hili.

Katsina ni mojawapo ya majimbo ya kaskazini-magharibi ya nchi hiyo yaliyoathiriwa na vitendo vya uhalifu na utekaji nyara.
===

Gunmen have attacked a convoy of Nigerian President Muhammadu Buhari's team in Katsina, his home state in the north.

Two persons sustained injuries in the advance convoy of security guards, protocol and media officers, according to a statement by the president's spokesman Garba Shehu.

The convoy had gone ahead of the president’s trip to his Daura hometown to celebrate the Eid-ul-Adha Muslim festival this weekend when the attackers opened fire on them.

They were however repelled by the military, the presidency said.

Katsina is one of the states in north-west Nigeria affected by criminal activities of bandits.

Many people have been killed and thousands kidnapped in the region since 2015

SOURCE: BBC
 
Siku wakianza kutembezewa kichapo..wasianze kukimbilia ulaya wakae wapokee kichapo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanigeria wamezingua, unavamia msafara na kuua wasio target, pinpoint mahali husika kama USA na pres. ken…
Yule mzee Buhari wameshamshindwa kitambo tu. Sijui kajivundika nini? Hata alipokuwa hoi kitandani almost mwaka, bado aliweza kuiendeshea serikali yake ICU, tena akiwa ughaibuni.

Ndiye rais pekee wa Afrika ambaye bila shaka ataingia kwenye Guinness Book of World's Records kwa kushindwa kabisa kuliongoza taifa lake, lakini all the while akiendelea kuaminiwa almost impeccably na raia wake.
 
Hii ingetokea kwenye msafala wa Hayati maiti zingeokotwa baharini mpaka basis plus Cyprian Musiba kubweka bweka
 
hii nchi tayari ipo gizani.. muda si mrefu haitotawalika.. dini hazifai
 
Hii ingetokea kwenye msafala wa Hayati maiti zingeokotwa baharini mpaka basis plus Cyprian Musiba kubweka bweka
duh Ukiongoza Afrika usiue hata mwiz utaambiwa alikuwa mwanasiasa mpinzan
 
Back
Top Bottom