Msafara wa Rais wawavutia Vijana wa Gen Z

Msafara wa Rais wawavutia Vijana wa Gen Z

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Vijana wa Gen Z wamepongeza ununuzi wa gari mpya na za kisasa za Aina ya Range Rover kwenye msafara wa Mheshimiwa Rais. Hakika tunaweza. Kazi na Utu

images (64).jpeg
 
Mama anaupiga mwingi.
Kama ni kodi zetu tu, amejua kuzitapanya. Nawaza tu hapa mpaka ikifika 2030, sijui walipa kodi ndani ya hii nchi tutakuwaje!

Maana tunalipa kodi na tozo kwa uaminifu mkubwa! Ila pesa nyingi zinazokusanywa mnazitumia kununulia magari ya kifahari, kununulia magoli ya simba na Yanga, kulioana posho na kuzifanyia ufisadi wa kutisha! Na wakati huo huo mzunguko wa biashara nyingi mtaani ukiendelea kudorora. Hakika nyinyi maccm mnazingua sana.
 
Mama anaupiga mwingi.
Kama ni kodi zetu tu, kwa kweli amejua kuzitapanya. Nawaza tu hapa mpaka ikifika 2030, sijui walipa kodi ndani ya hii nchi tutakuwaje!

Maana tunalipa kodi na tozo kwa uaminifu mkubwa! Ila pesa nyingi zinazokusanywa mnazitumia kununulia magari ya kifahari, kununulia magoli ya simba na Yanga, kulipana posho na kuzifanyia ufisadi wa kutisha! Na wakati huo huo mzunguko wa biashara nyingi mtaani ukiendelea kudorora. Hakika nyinyi maccm mnazingua sana.
 
Back
Top Bottom