Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Wamemaliza sherehe za mapokezi yaLisu?
 
Kiitikadi Mh Rais akisha ingia mahali gate lina fungwa
Mkuu sio Kweli ndugu yangu; Watu wananchi wa kawaida huwa wanaingia; Ispokuwa hao ni kwasababu wana eneo maalum na ni upande uleule wa Rais, hivyo itakuwa sio sawa. Nikiwa Kijana nimehudhuria Sherehe za kitaifa, uhuru na Muungano mara kadhaa, Wananchi wanaruhusiwa kuingia na Kutoka bila shida hata kama Mheshimiwa anaendelea Kuhutubia.
 
Sasa wataendaje msibani huku wanashangilia vidole juu km waimba taarabu?

Hyo si kebehi kwa msiba wa Taifa.
 
Wameshamaliza sherehe za mapokezi ya Lisu?
 
Maalimu seifu hana madhara kwa ccm. Huwezi kujua, CHADEMA sio wajinga kivile. Huwenda walifanya mawasiliano lakini wakapuuzwa. You never know, ccm wana hila usijifanye huwajui.

Suala la kuwa ccm wana hila hilo wala sihitaji kwenda chuo kikuu kulijua. Lakini mimi kama mimi msimamo wangu na hata post zangu ziko humu humu jukwaani, nilishauri cdm wasiende na hasa hasa Lisu. Najua fika watu kumshangilia Lisu lingejitokeza hata kama angewahi uwanjani. Je kama wangeingia wakiwa wamechelewa ingekuwaje? Ni adui gani atakupa pointi za mezani kirahisi? Hivi ni kweli cdm walikuwa na ulazima wa kwenda kwenye hiyo hafla, tena wakiwa nje ya muda uliopangwa na wenye shughuli?
 

Kama wamefika hapo baada ya Rais kuingia hawawezi kuruhusiwa. Au wameenda na 'maandamano' msibani?
 
Na wangeachwa wakakae kwa wananchi wa kawaida kungeleta MANUNGUNIKO kwa jamii kama wametengwa na tungeamini hivyo mkuu.
Mbona kama vile mtabiri wa nyota! Kwamba ni heri wazuiwe wasiingie kabisa, kuliko waingie halafu wanung'unike kuwekwa kwa wananchi! Haya bhana, mi napita tu
 
Tusiwe tunajadili kama vile wote sisi ni mazwazwa,tuwe tunauliza maswali ya msingi kisha ndio tuchangie.swali kwako mleta habari,wakati wanataka kuingia je jpm alikua kishaingia au bado? Kama bado wananchi wengine walikuwa wanaendelea kuingia au la?.mikutano yote ya ndani akishaingia rais hairuhusiwi kuingia mtu yeyote tena,pia wakati mwingine uwanja ukishajaa waharuhusu tena watu tofauti na wale waliopo ktk ratiba tu!
 
Kama umechukia pasukaa! Who are you? Toa ushauri ccm na wanaovunja katiba! Ukishindwa kula mihogo!
 
Duh! Kama nyie ndio wafuasi mnaotegemewa CDM, na unajibu hivi!! No wonder chama kinakufa
 
Tunyweni bia jamani

Hata dabiliyusibii walizuiliwa hivihivi kwenye msiba wa ruge
 
Huu haukuwa Msiba wa kawaida, Leo ilikuwa shughuli maalumu ndio maana itifaki zote zimefuatwa..

Na ilishatangazwa toka jana kuwa kama Kuna viongozi wa vyama vya siasa wanataka kwenda wapeleke taarifa Ila waingizwe kwenye ratiba.

Acheni kiki za Kijinga, Jana mambo yameenda vizuri kwenye mapokea ya Lisu Leo mmelikoroga nyie watu Sijui nani mshauri wenu.

ACT wanawaacha mbali Sana kwa busara nyie Sijui mnakwama wapi wakati nichama kikongwe kwenye siasa za Tanzania.
 
familia ya Mkapa haijapenda hilo jambo,msiba ni wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…