Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Kweli vijana tuna kazi aiseee, Chadema bhanayou're right.
jana haikuwa kiki... ulikuwa mtiti uliotetemesha viunga vyote kuanzia Magogoni hadi Chamwino!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli vijana tuna kazi aiseee, Chadema bhanayou're right.
jana haikuwa kiki... ulikuwa mtiti uliotetemesha viunga vyote kuanzia Magogoni hadi Chamwino!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajikuta wewe ndio jiwe kumbe ni ngumbaru mmoja mpiga deki Ofisi za Lumumba.Kwani mi niliwatishia kuwa Msipokee Muhuni mwenzenu? Nilichopinga ni Kumpokea na Kwenda taifa/msibani
Pamoja na ukongwe wako humu JF haya majibu ni kama umejiunga June 2020...Kama umechukia pasukaa! Who are you? Toa ushauri ccm na wanaovunja katiba! Ukishindwa kula mihogo!
Acha propaganda bwana. Mtu wa mwisho kuingia ukumbini katika Shughuli za kiserikali ni the highest ranking officer/leader. Sasa huwezi ukafika umechelewa ukapita mbele ya waheshimiwa lukuki.Kwenye post zangu za jana nilishauri Lissu kutokwenda kwenye huo msiba, ninajua vyema mtazamo wa serekali hii chini ya Magufuli dhidi ya Lisu. Hapo tatizo la kuzuiliwa ni Lisu, na kwa vyovyote vile angeingia hapo uwanjani lazima angeshangiliwa vibaya sana, jambo ambalo lingezua fedheha na Karaha kubwa kwa serikali.
Ni nani asiyejua kuwa Lisu na Magufuli kuwa hawaivi chungu kimoja? Hivi hao viongozi wa Cdm walitarajia serikali na ccm, wangekubali cdm wachukue point za mezani mbele yao?
Huu Msiba sio wa familia ya Mkapa, huu Msiba ni wa Kitaifa ndio maana kila kitu kinagharamiwa na Kodi za Watanzania.familia ya Mkapa haijapenda hilo jambo,msiba ni wa Taifa
Mulikuwa mnaenda kwenye msiba ama shazi? Kiki hadi kwenye misiba. khaa..Washaogopeshwa na shazi la jana.
Good thinking 'hata mimi nadhani walichelewa'Tusiwe tunajadili kama vile wote sisi ni mazwazwa,tuwe tunauliza maswali ya msingi kisha ndio tuchangie.swali kwako mleta habari,wakati wanataka kuingia je jpm alikua kishaingia au bado? Kama bado wananchi wengine walikuwa wanaendelea kuingia au la?.mikutano yote ya ndani akishaingia rais hairuhusiwi kuingia mtu yeyote tena,pia wakati mwingine uwanja ukishajaa waharuhusu tena watu tofauti na wale waliopo ktk ratiba tu!
Hajielewi Nini, swala lililopo ni kujiuliza walifika pale uhuru baada au kabla ya rais!?, Makando kando mengine hayafai.Kwa vile wao sio watanzaniaau?Aliewazuia hajielewi. Hapa duniani tunapita tu.
Magufuli si anakubalika? Watanzania wasingekuwa na time na Lissu maana wana Magufuli wao hivyo wangetulia tuu viongozi wa Chadema wajipitie zao wakaketi majukwaani. HAHAHAHAHA jana mlikuwa nma test zali eti kama Chadema inakubalika mlipotoka kapa mmeanza tena uhuni.
Halafu uelewe kuwa Chadema hawakuwa na barua ya mualiko, pale ni msibani. Pia Chadema hawana king'ora hivyo wangejipitia tu barabarani wawahi. Pia elewa msafara ule ulikuwa ni wa viongozi watupu tena wasio na bendera za chama. Mbona maccm yamejazana majukwaani na mijezi yao?
Haya kila mtu afanye tukio lake. Kazikeni mtu wenu salama sisi tuendelee na yetu! Utadhani maiti zinaliwa kwamba Chadema wakiwepo nyama itapungua! Ushenzi kabisa.
Narudia tena "Msiba hauna mualiko wala kadi za michango"
Ukichukua Sefu na Chadema, Sefu anamadhara makubwa kwa CCM kuliko Chadema.Maalimu seifu hana madhara kwa ccm. Huwezi kujua, CHADEMA sio wajinga kivile. Huwenda walifanya mawasiliano lakini wakapuuzwa. You never know, ccm wana hila usijifanye huwajui.
Inabid ujifunze tofauti ya jana na leo.Mulikuwa mnaenda kwenye msiba ama shazi? Kiki hadi kwenye misiba. khaa..