Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Mlienda kama kikundi?

Mbona wengine tumeingia kwa utaratibu wa kawaida na hatujasumbuliwa?
 
Walikua wanaenda kuwadhalilishaje mkuu?
Ikitokea uKawaruhusu watu kama hawa halafu kwa kuwa tu wanataka mileage za kisiasa wakawa hata na kibango mfukoni cha kudhalilisha unategemea shughuli itaendelea?
 
Asante kwa taarifa
 
Kama sababu ni hiyo kitendo cha leo Viongozi wa CHADEMA wametunisha misuli dhidi ya Serikali, kitendo ambacho ni dharau ya kitoto
 
Ni kutokana na Magufuli kuona aibu kuhusu Lissu na itamtafuna sana hiyo hali!
Magufuli hawezi kuona aibu kuhusu Lisu na Lisu kwa Magufuli si chochote mkuu. Wanaotakiwa kuona aibu ni mwenyekiti wake alietaka kumuondoa ili asigombee uenyekiti na si vinginevyo.
 
Ikitokea uKawaruhusu watu kama hawa halafu kwa kuwa tu wanataka mileage za kisiasa wakawa hata na kibango mfukoni cha kudhalilisha unategemea shughuli itaendelea?
Kwanini umefikiria wakiwa na bango mfukoni vipi wakiwa hawana bango hilo?
 
Mkuu walisimama jana kutoa heshima kwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Watanzania tuna upendo na kuvumiliana.
 
Uongo viongozi wa Chadema waliwasili saa nne asubuhi viongozi wote wakuu wakiwa ndani
 

Just out of curiosity, ni kitu gani malicious ambacho Chadema wangeweza kufanya pale msibani?

Amandla...
 
Duuuh kama ndivyo walivyofanyiwa basi inatia shaka ueledi wa hao waliowazuia.
Lakini sidhani kama ni kweli labda atuwekee hapa picha wakiwa getini wakisubiri kuingia. Siamini kwamba saa moja asubuhi hata Tundu Lissu alivyokuwa amechoka jana angeweza kuamuka mapema saa moja akawa uwanjani pale msibani. Hivyo hivyo na Mh. Mbowe jana wakati wa mapokezi ya TL alikuwa anachechemea atawezaje kuamuka asubuhi jamani? Naona hakuna mtu anakataza mwenzake asiende msibani labda kwenye Sherehe ndo watu wanaambiwa kuja na Kadi.
 
Mmeshaanza ubishi. Wao waliwafukuza Chadema kwa madai kuwa eti hawakuanzia kanisani wakati viongozi kibao wameingia pale bila kwenda kanisani na wameruhusiwa huku Chadema wakiwatazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…