Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Msiba ukiisha uvumilivu utaisha pia,kwanza TL anatakiwa mahakamani alhamisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waendelee na sherehe, watuache na msiba wetu.Bado, unatakaje?
Drama drama drama kama watoto, nafikiri Viongozi (wengi) wa chadema wana arrested development, ...
Mlienda kama kikundi?Viongozi wakuu wa Chadema wamefika uwanja wa Uhuru leo saa moja asubuhi ndipo wakazuiwa kuingia wakiambiwa wasubiri kwanza utaratibu.
Ilipofika saa tatu asubuhi viongozi kadhaa walianza kumiminika na kuruhusiwa kuingia uwanjani huku viongozi wa Chadema wakiwa bado getini.
Rais alipofika akaingia ndipo viongozi wa Chadema wakaambiwa hakuna tena kuingia uwanjani.
Ndipo nasema sasa kila mtu afanye shughuli yake ili mradi hatutavunja katiba.
Ikitokea uKawaruhusu watu kama hawa halafu kwa kuwa tu wanataka mileage za kisiasa wakawa hata na kibango mfukoni cha kudhalilisha unategemea shughuli itaendelea?Walikua wanaenda kuwadhalilishaje mkuu?
Asante kwa taarifaViongozi wakuu wa Chadema wamefika uwanja wa Uhuru leo saa moja asubuhi ndipo wakazuiwa kuingia wakiambiwa wasubiri kwanza utaratibu.
Ilipofika saa tatu asubuhi viongozi kadhaa walianza kumiminika na kuruhusiwa kuingia uwanjani huku viongozi wa Chadema wakiwa bado getini.
Rais alipofika akaingia ndipo viongozi wa Chadema wakaambiwa hakuna tena kuingia uwanjani.
Ndipo nasema sasa kila mtu afanye shughuli yake ili mradi hatutavunja katiba.
Kama sababu ni hiyo kitendo cha leo Viongozi wa CHADEMA wametunisha misuli dhidi ya Serikali, kitendo ambacho ni dharau ya kitotoKwenye post zangu za jana nilishauri Lissu kutokwenda kwenye huo msiba, ninajua vyema mtazamo wa serekali hii chini ya Magufuli dhidi ya Lisu. Hapo tatizo la kuzuiliwa ni Lisu, na kwa vyovyote vile angeingia hapo uwanjani lazima angeshangiliwa vibaya sana, jambo ambalo lingezua fedheha na Karaha kubwa kwa serikali.
Ni nani asiyejua kuwa Lisu na Magufuli kuwa hawaivi chungu kimoja? Hivi hao viongozi wa Cdm walitarajia serikali na ccm, wangekubali cdm wachukue point za mezani mbele yao?
Magufuli hawezi kuona aibu kuhusu Lisu na Lisu kwa Magufuli si chochote mkuu. Wanaotakiwa kuona aibu ni mwenyekiti wake alietaka kumuondoa ili asigombee uenyekiti na si vinginevyo.Ni kutokana na Magufuli kuona aibu kuhusu Lissu na itamtafuna sana hiyo hali!
Kwanini umefikiria wakiwa na bango mfukoni vipi wakiwa hawana bango hilo?Ikitokea uKawaruhusu watu kama hawa halafu kwa kuwa tu wanataka mileage za kisiasa wakawa hata na kibango mfukoni cha kudhalilisha unategemea shughuli itaendelea?
Mkuu walisimama jana kutoa heshima kwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.Kunakitu kinaitwa Malicious Intent kwa kikwetu. Viongozi wa CHADEMA hawakwenda pale uwanjani kwa ajiliya kuomboleza bali kwa ajili ya kudhalilisha viongozi na Nchi. Kikubwa ilikuwa ni kutafuta mileage za kisiasa. Sasa katika hali hiyo ni lazima wangefanya kitu chochote tu ili waonekane wapo. Walikuwa na nia ovu. Nani wa kuruhusu upumbavu huo katjka hali kama hii ya majonzi tuliyonayo?
Kawaulize hao waliowazuia ndiyo wenye jibu la swali lako kibuduMlienda kama kikundi?
Mbona wengine tumeingia kwa utaratibu wa kawaida na hatujasumbuliwa?
Ufutwe wewe kwenye uso wa dunia huna faida yoyoteNi muhimu hicho chama kuuawa au kifutiliwe mbali
Uongo viongozi wa Chadema waliwasili saa nne asubuhi viongozi wote wakuu wakiwa ndaniViongozi wakuu wa Chadema wamefika uwanja wa Uhuru leo saa moja asubuhi ndipo wakazuiwa kuingia wakiambiwa wasubiri kwanza utaratibu.
Ilipofika saa tatu asubuhi viongozi kadhaa walianza kumiminika na kuruhusiwa kuingia uwanjani huku viongozi wa Chadema wakiwa bado getini.
Rais alipofika akaingia ndipo viongozi wa Chadema wakaambiwa hakuna tena kuingia uwanjani.
Ndipo nasema sasa kila mtu afanye shughuli yake ili mradi hatutavunja katiba.
Kunakitu kinaitwa Malicious Intent kwa kikwetu. Viongozi wa CHADEMA hawakwenda pale uwanjani kwa ajiliya kuomboleza bali kwa ajili ya kudhalilisha viongozi na Nchi. Kikubwa ilikuwa ni kutafuta mileage za kisiasa. Sasa katika hali hiyo ni lazima wangefanya kitu chochote tu ili waonekane wapo. Walikuwa na nia ovu. Nani wa kuruhusu upumbavu huo katjka hali kama hii ya majonzi tuliyonayo?
Lakini sidhani kama ni kweli labda atuwekee hapa picha wakiwa getini wakisubiri kuingia. Siamini kwamba saa moja asubuhi hata Tundu Lissu alivyokuwa amechoka jana angeweza kuamuka mapema saa moja akawa uwanjani pale msibani. Hivyo hivyo na Mh. Mbowe jana wakati wa mapokezi ya TL alikuwa anachechemea atawezaje kuamuka asubuhi jamani? Naona hakuna mtu anakataza mwenzake asiende msibani labda kwenye Sherehe ndo watu wanaambiwa kuja na Kadi.Duuuh kama ndivyo walivyofanyiwa basi inatia shaka ueledi wa hao waliowazuia.
Hapana. Huu wako ndiyo uongo mtakatifu maana unayebishana naye aliona wakati wanaondoka.Uongo waliwasili saa nne asubuhi viongozi wote wakuu wakiwa ndani
anza kufa wewe kwanzaNi muhimu hicho chama kuuawa au kifutiliwe mbali
Mmeshaanza ubishi. Wao waliwafukuza Chadema kwa madai kuwa eti hawakuanzia kanisani wakati viongozi kibao wameingia pale bila kwenda kanisani na wameruhusiwa huku Chadema wakiwatazamaLakini sidhani kama ni kweli labda atuwekee hapa picha wakiwa getini wakisubiri kuingia. Siamini kwamba saa moja asubuhi hata Tundu Lissu alivyokuwa amechoka jana angeweza kuamuka mapema saa moja akawa uwanjani pale msibani. Hivyo hivyo na Mh. Mbowe jana wakati wa mapokezi ya TL alikuwa anachechemea atawezaje kuamuka asubuhi jamani? Naona hakuna mtu anakataza mwenzake asiende msibani labda kwenye Sherehe ndo watu wanaambiwa kuja na Kadi.